MARIO Balotelli ameachwa na aliyekuwa mchumba Fanny Neguesha
siku chache baada ya kuripotiwa kusema kwamba kikosi kizima cha Real Madrid kingeweza kulala nae ikiwa wangeitoa Borussia Dortmund.
Mwanamitindo
Fanny, 22, aliondoka kwenye nyumba ya mshambuliaji huyo huko Italia
baada ya kugombana kutokana kutoelewana baina ya wawili hao.