Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika Jumatatu huko Sakina Arusha.Kwa Picha zaidi BOFYA HAPA
Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika Jumatatu huko Sakina Arusha.
Dada wa marehemu Erasto Msuya katika ibada ya kumwaga marehemu kaka yake Erasto Msuya nyumbani kwake Sakina Arusha
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi.
Mchungaji Mwanga akitoa neno katika ibada hiyo.