Posted by Unknown
Posted on Saturday, August 10, 2013
Mechi
kati ya bayernmunich na Mönchengladbach ilimalizika kwa mabao 3-1
mabao yaliyofungwa na arjen roben,mario mandzukich pamoja na david alaba
huku golila Mönchengladbach
likipatikana kwa goli la kujifunga kutoka kwa beki mahiri mbrazili
dante.hii imemsafishia njia arjen roben kuanza katika kikosi cha kwanza
msimu huu katika ligi ya bundesliga ujerumani na kuondoa uvumi wa kuuzwa
kwa roben uliokuwa umetanda