muhtasari

Home » » PICHA: MASHABIKI WA YANGA WALIPIGA MAWE BASI LA COASTAL UNION NA KUVUNJA VIOO NA KUMPASUA MCHEZAJI WA WAGOSI ...

PICHA: MASHABIKI WA YANGA WALIPIGA MAWE BASI LA COASTAL UNION NA KUVUNJA VIOO NA KUMPASUA MCHEZAJI WA WAGOSI ...

Siku ya jana baada ya mchezo wa Yanga vs Coastal Union kuisha - timu ya Coastal ikiwa inaondoka uwanja wa taifa ilifanyiwa vurugu na mshabiki wanaosadikika kuwa wa Yanga. Katika vurugu hizo inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na huku mchezaji wa Coastal Union  Hamad Juma 'Basmat', amepasuliwa kichwani na ameshona nyuzi kadhaa.

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger