Home »
» SASA WEMA SEPETU KUANZA KUIMBA...!!
Posted by Unknown
Posted on Friday, August 02, 2013
Wema Sepetu miss Tanzania aliyegeuka kuwa muigizaji, ameweka wazi
kwamba anataka kuimba na katika kuthibitisha hilo ameshaandika mistari
kadhaa ya anachotaka kuimba. Wema alishawahi kuimba kwenye wimbo wa
kuhamasisha kumchangia msanii Sajuki wakati anaumwa. Wimbo huo unaitwa
“Mboni yangu”, so kuingia kwenye booth kurekodi wimbo sio kitu kipya kwa
Wema Sepetu. Hii ni baadhi ya mistari ambayo ameshaandika Wema Sepetu
kwa ajili ya wimbo huo.
Mwambie wake ni mimi, na kwangu
moyoni atabaki ni yeye, tena mwambie bado silali kutwa nawaza penzi
langu… ila siku atakugundua kuwa mi ndo mwenyewe..................
Mpaka sasa hivi ni wimbo mmoja Wema alirekodi kwa kushirikiana na Snura ambapo Tunda Man alishiriki pia kuuandika.