muhtasari

Home » , » VIDEO:KIJANA ALIYEKAMATWA NA DK MWAKYEMBE AKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA...

VIDEO:KIJANA ALIYEKAMATWA NA DK MWAKYEMBE AKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA...


Siku moja baada ya ziara ya kushtukiza ya waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar-es-Salaam, kiasi kikubwa cha dawa za kulevya kimekamatwa uwanjani hapo katika harakati za kusafirishwa kwenda nchi za nje.

 TAZAMA VIDEO HAPO CHINI

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger