muhtasari

Home » , » WANANCHI WAUA MAJAMBAZI MAWILI JIJINI MWANZA...

WANANCHI WAUA MAJAMBAZI MAWILI JIJINI MWANZA...


WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa na wananchi mkoani Mwanza wakati wakijaribu kuiba katika kituo cha mafuta cha GBP.

Akizungumzia tukio hilo shuhuda mmoja ambaye alikuwa eneo la tukio hilo alisema kuwa majambazi hao walifika katika kituo hicho cha mafuta wakitaka kuiba.

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger