muhtasari

Home » , » MABASI YAENDAYO MIKOANI UBUNGO YAANZA MGOMO...

MABASI YAENDAYO MIKOANI UBUNGO YAANZA MGOMO...



Mabasi yaendayo mikoani leo asubuhi yamegoma kufanya safari zake kama ilivyo ratiba zake za kawaida  kwa madai kwamba walikuwa kwenye mgomo. 
 
 Mwandishi wetu  alipofika katika Kituo kikuu cha mabasi Ubungo alikuta mabasi yote yakiwa yamepakia abiria lakini hayakuwa yametoka kufuatia wamiliki wa mabasi hayo kuwakataza madereva kuyatoa mabasi hayo kama ilivyo kawaida. 

Mabasi hayo yamegoma kufuatia mgomo wa malori uliosababishwa na ongezeko la tozo la asilimia 5 katika mizani.

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger