Mpendwa msomaji;
Tunapenda kukuarifu kuwa kuna zawadi ya sh. 300,000 itakayogawanywa kwa washindi watatu
Shindano hilo limeanza leo katika forum yetu ya Fikra Huru na litamaliza baada ya siku 30 kutoka leo....
Jinsi ya kushiriki:
Jiunge na Forum yetu na kisha anza kupost habari au maada yoyote ya maana itakayojadiliwa na wadau wengine....
Maada
hiyo itategemea na jukwaa ulilopo. Mfano, ukiwa jukwaa la
Community Forums, tunategemea kuona habari au mawazo ya kisiasa,
habari za matukio, breaking news, mawazo binafsi na udaku kwa
ujumla....
Ukiwa
katika jukwaa na Vijana forums, tunategemea kuona mijadala ya
mapenzi, urafiki, uchumba na ndoa...Vivyo hivyo katika majukwaa
mengine...
Mshindi atapatikanaje?
Ili
uweze kushinda, ni lazima uwe na point nyingi kuliko
wenzako.Angalia hapo chini uone jinsi pointi hizo
zinavyopatikana: