Sakata la kodi ya umiliki wa kadi za simu (simcard tax) sasa limekuwa personal kati ya waheshimiwa.
Mbunge wa Ubungo, Mh. John Mnyika ametoa kauli ndefu kuhusu sakata hilo,
na kutoa namba za simu za mikononi za baadhi ya waheshimiwa, akiwemo Mh. January Makamba, hadharani ili
wananchi wanaotaka kutoa
dukuduku lao, wawasiliane...
Home »
» JANUARY MAKAMBA AMVAA MNYIKA BAADA YA KUANIKA NAMBA YAKE YA SIMU HADHARANI...!!
JANUARY MAKAMBA AMVAA MNYIKA BAADA YA KUANIKA NAMBA YAKE YA SIMU HADHARANI...!!
Posted by Unknown
Posted on Monday, July 22, 2013

