Mwili wa Mtoto Joshua Isack (4) ukichukuliwa na polisi
KATIKA
hali isiyokuwa ya kawaida Mtoto Joshua Isack (4) aliyepotea nyumbani
kwao akiwa anacheza na watoto wenzie kwa siku tatu akutwa akiwa
amefariki dunia ndani ya shimo la choo cha jirani na kuzua maswali ya
sintofahamu kwa wazazi na majirani.
Tukio
hilo la kuonekana kwa mtoto huyo lilitokea jana majira ya saa Kumi
jioni katika Mtaa wa Nyibuko Pambogo kata ya Iyela Jijini Mbeya baada ya
juhudi za wazazi na majirani kushirikiana kumtafuta na kumpata akiwa
amepoteza maisha ndani ya shimo la choo.
Akizungumza
kwa uchungu na masikitiko makubwa baba mzazi wa marehemu Isack Daniel
ambaye ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Maji Mbeya alisema Mtoto wake huyo wa
kiume alikuwa anacheza na wenzie jumatatu ya Oktoba 28, majira ya saa
12 jioni lakini alitoweka katika mazingira ya kutatanisha.
Alisema
baada ya kuona giza linaingia na mtoto hajarudi alianza kumtafuta
katika kila eneo akishirikiana na baadhi ya ndugu na majirani lakini
hakufanikiwa kumwona kwa siku hiyo ambayo kesho yake akiwa ni viongozi
wa mtaa walienda kutoa taarifa kituo cha Polisi cha Kati Mbeya Mjini.
Mzazi
huyo aliendelea kusema baada ya kutoa taarifa polisi bado waliendelea
na juhudi za kumtafuta huku Ubalozi ukiunda kikosi maalumu cha kufanya
msako wa nyumba hadi nyumba ambapo baada ya kupita katika nyumba ya
jirani alipokutwa marehemu katika shimo la maji machafu walipatwa na
wasi wasi baada ya kuona kuna mabadiliko ya mbao zilizokuwa zimefunika
shimo hilo.
Alisema
awali walivyopita siku moja kabla waliona shimo hilo likiwa limefunikwa
kwa mabanzi yaliyochakaa lakini siku ya pili yake asubuhi walikuta
kukiwa na mabanzi mapya kuashiria kuna ukarabati umefanyika hali
iliyowapa wasi wasi na kulazimika kulifunua shimo hilo na kumkuta
marehemu akiwa amepoteza maisha ndani ya shimo hilo.
Alisema
aliyegundua kuwepo kwa mtoto ndani ya shimo ni ndugu yake alikuwa
katika msako wa nyumba kwa nyumba na ndipo alipompigia simu akiwa kazini
nayeye kutoa taarifa polisi na kwenye Serikali ya Mtaa ambapo walianza
kufanya juhudi za kumtoa lakini walikwama hali iliyowalazimu kuomba
msaada kwa kikosi cha Zimamoto na Uokoaji waliofanikiwa kumtoa majira ya
saa Kumi jioni.
Kwa
upande wake Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Nyibuko Pambogo kata ya Iyela
Mage Makwenda alisema akiwa ofisini kwake alipokea taarifa za kupotea
kwa mtoto katika mazingira ya kutatanisha lakini wakiwa katika juhudi za
kumtafuta ndipo walioteuliwa kufanya upelelezi na msako mkali walipotoa
taarifan za kuonekana kwa mtoto akiwa amefariki dunia ndani ya shimo la
maji machafu.
Alimtaja
mmiliki wa nyumba hiyo kuwa ni Gesho Kibonde (43) mkazi wa Mtaa wa
Nyibuko kata ya Iyela Jijini hapa ambaye anashikiliwa na jeshi la polisi
kwa ajili ya mahojiano pamoja na mkewe.
Kwa
upande wake majirani na wakazi wa mtaa huo ambao hawakutaka majina yao
kuandikwa walisema tukio hilo lina utata mkubwa kwa sababu baada ya
mtoto kuonekana ndani ya shimo baadhi yao walifanikiwa kuchungulia na
kumkuta marehemu akiwa amesimamishwa mithiri ya kutumbukiwa na mtu.
Mashuhuda
hao waliendelea kusema kama mtotio angekuwa ametumbukia kwa bahati
mbaya akiwa anacheza na wenzie angeonekana kuumia baadhi ya viungo
lakini haikuwa hivyo pamoja na kuonekana kufa maji machafu ndani ya
shimo hilo basi tumbo lake lingejaa lakini hali aliyokutwa nayo marehemu
ni tofauti.
Hata
hivyo wengine wamelihusisha tukio hilo na imani za kishirikina kwa
madai kuwa aliyewaonesha kuwepo kwa mtoto ndani ya shimo hilo ni babu
kutoka Mwakaleli( mganga)ambaye alifuatwa na baadhi ya watu ili kusudi
awaoneshe mtoto na ndipo babu huyo alipo waambioa warudi katika nyumba
ya jirani watamkuta akiwa hai.
Walisema
baada ya kurudi na kutafuta katika eneo hilo waliokuta akiwa amekufa
kitu ambacho waliamini ni kuchelewa kufika na kuligundua eneo lakini
wanrwahi huenda wangemkuta marehemu akiwa mzima kabisa.
Aidha
wakati zoezi la kumtoa marehemu ndani ya shimo hilo kwa ushirikiano wa
Jeshi la Polisi, Zimamoto na Uokoaji pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya
Maji safi na usafi wa Mazingira Mbeya( Mbeya uwsa) vilio vilitawala
eneo hilo kutoka kwa wanawake walioshindwa kujizuia huku wengine
wakipoteza fahamu na kulazimika kupewa msaada.
Hili ndilo shimo alimokutwa marehemu Joshua

MTOTO WA MIAKA 4 AFARIKI DUNIA MARA BAADA YA KUTUMBUKIA KWENYE SHIMO LA CHOO HUKO JIJINI MBEYA..!!