Na Baraka Mbolembole
Kuelekea mwisho wa utawala wa Hassan Dalali kama mwenyekiti wa klabu ya soka ya Simba, timu hiyo ya ' Msimbazi' ilikuwa katika wakati mgumu kiutawala. Dalali, alikua aishi kuvurugana na aliyekuwa katibu wake mkuu, Mwina Kaduguda.

Kwa
mtazamo wa haraka, Dalali ndiye ' Mwanachama- kiongozi' anayekubalika
zaidi na ' Wana- Simba', ila katika utendaji wake wa mambo muhimu katika
makaratasi ilikuwa ni tatizo kubwa. Kumalizika kwa muda wa utawala
wake, klabu ikaingia
katika uchaguzi huru na wa haki na hapo, Julai, 2010, Ismail Aden Rage akaingia madarakani.Nchi yetu bwanaaa, kila mahali migomo tu, hadi wenye maduka wameingia katika hali hiyo ili kutetea usawa wao. Je, haki ni nini? Bila shaka haki ni kitu ambacho kinajiendesha chenyewe bila choyo, Mtu mwenye hekima na Busara hutembea na kitu hiki huku kikimuongoza katika harakati zake za maisha. Harakati ni nini? Harakati ni njia ya maisha tu. Ni lazima tuitende haki na kuisadiki. Yule mwenye kufanya dhuluma, atalipwa dhuluma, na malipo ya dhuluma hiyo huwa ni kubwa kuliko dhuluma yenyewe.

'MTU MKUBWA NI MWANAFUZI'
Kwa, Rage bila shaka Simba, ilifikiriwa ingesogea hatua fulani mbele, ila matokeo yake ni watu kukosa imani zaidi kwa Mwenyekiti huyo wa zamani wa Moro United, na katibu mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Nchini, FAT, ( Sasa, TFF).. Mimi kwa upande wangu nilikuwa mara zote nikiangukia katika upande wa hoja za Mh. Rage, si kutokana na ' Siasa' zake bali kutokana na aina ya mtazamo wake wakati akiwa anazungumzia mipango ya maendeleo.

Wakati
akiingia klabuni Simba, kama Mwenyekiti wa klabu nilifikiri labda sasa
Simba itakuwa katika hali fulani nafuu, kiuchumi, kiutawala, na
kiuendeshaji. Matokeo yake imekuwa ni fedhea kubwa. Wakati huu, '
Wasomi' kama Rage wakitawala soka la Tanzania, ni wazi mawazo yao mapya
yanaweza kupingwa na upande mwingine, hasa upande ule ambao wanaamini
kuwa soka linaweza kuendeshwa na mwanasoka wa zamani. Hapana, kuondoka
kwa Dalali, hakukuja kwa bahati mbaya, alikuwa kiongozi mzuri lakini
elimu yake ikamuondoa huku kundi kubwa la wanachama likitaka aorodheshwe
katika orodha ya mwisho ya wagombea kinyume na katiba.
Funzo
la kuondoka madarakani kwa Dalali, huku wanachama wengi wakimpigania
lilipita nje ya fikra za Rage ambaye alikuja kushinda kwa kishindo
katika uchaguzi. Ahadi zake zilikuwa ni nzuri, zilimvutia kila mmoja na
ndiyo maana alishinda. ' Mtu mkubwa ni Mwanafunzi, kwani hutamani vitu
zaidi kuliko watu wengine', na kwa Rage jambo moja kubwa lililomuingiza
madaraki ni kuhiimariasha klabu kutoka katika utegemezi wa pesa za watu
binafsi. Alisema kuwa ndani ya utawala wake Simba itakuwa na uwanja wake
binafsi. Muda umekwenda sasa, na suala la Mwenyekiti huyo
aliyesimamishwa na kamati ya utendaji kutoitisha mkutano wa katiba mpya
ya klabu limewakera wengi na kumuona ni mtu mbinafsi, hasiye shahurika
na mwenye maamuzi mabaya kwa klabu.