muhtasari

Home » » ANGALIA PICHA YA MATUKIO YALIOJIRI KESI YA MAKADA WA CHADEMA!!!

ANGALIA PICHA YA MATUKIO YALIOJIRI KESI YA MAKADA WA CHADEMA!!!

Mtuhumiwa Hery Kileo mwenye  nguo nyeusi pamoja na wenzake wanaoshtakiwa kwa kesi ya kumwagia tindikali Musa Tesha wakiingia mahakamani jana mjini Tabota.
Mke wa Henry Kileo akiwa na M/Kiti wa Chadema Tabora   Mbaruk  pamoja na ,

Kwa maoni ya Wakili Msomi PK ni kwamba Jaji alichukulia kesi hiyo  na pia akaheshimu na kuzingatia hali halisi ya Wakili, kwamba anatoka mbali Dar es salaam na hivyo akaamuru Hoja za pande zote mbili zipelekwe kimaandishi kuwaondolea usumbufu hasa wapeleka maombi ambao ni sisi tunaosafiri kila siku. Na kwa sababu hizo basi tar 30july Jaji atataja tar ya uamuzi.

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger