
Mwenyekiti Mbowe tayari ameachiwa huru baada ya majadiliano ya kina kati ya Polisi na Mawakili wa Chadema.
Polisi wamekubali mawakili wa Mbowe kujibu kwa maandishi kwanini alisema polisi wanahusika na mlipuko wa Arusha na kisha watafanyia kazi majibu hayo na kutoa uamuzi wao.