muhtasari

Home » » ASKARI WA JWTZ WALIOUAWA DARFUR KUAGWA LEO TAREHE 22/7/2013 MAKAO MAKUU YA JESHI

ASKARI WA JWTZ WALIOUAWA DARFUR KUAGWA LEO TAREHE 22/7/2013 MAKAO MAKUU YA JESHI


Askari saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa katika jimbo la Darfur nchini Sudan, wanatarajiwa kuagwa leo kwenye viwanja vya makao makuu ya jeshi hilo. Miili ya wanajeshi hao iliwasili nchini juzi kwa ndege maalumu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J. K Nyerere, Terminal One na kwenda...

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger