
Sakata la kodi ya umiliki wa kadi za simu (simcard tax) sasa limekuwa personal kati ya waheshimiwa.
Mbunge wa Ubungo, Mh. John Mnyika ametoa kauli ndefu kuhusu sakata hilo,
na kutoa namba za simu za mikononi za baadhi ya waheshimiwa, akiwemo Mh. January Makamba, hadharani ili
wananchi wanaotaka kutoa
dukuduku lao, wawasiliane...