Ikiwa
zimebakia siku chache kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili kwa
vilabu vya ligi kuu nchini,Timu ya Simba imempokea beki raia wa Afrika
ya kusini Vincent Mabusela kwa kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo kwa
msimu ujao.
Beki huyo ambaye anatokea klabu ya Black Leopards ambayo imeshuka daraja
msimu uliopita katika Ligi kuu nchini humo,amepokewa jioni hii katika
Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mjumbe wa Kamati
ya utendaji ya Klabu ya Simba Daniel Manembe.
Home »
» BREAKING NEWS! BEKI WA BLACK LEOPARDS VINCENT MABUSELA ATUA NCHINI KUJIUNGA NA SIMBA !!
BREAKING NEWS! BEKI WA BLACK LEOPARDS VINCENT MABUSELA ATUA NCHINI KUJIUNGA NA SIMBA !!
Posted by Unknown
Posted on Tuesday, July 23, 2013