
*Aelezea uhusiano wake na Mwigulu, Lwakatare. *Asema yeye bado ni mwanachama hai wa Chadema, amkwepa Kibanda
SIKU chache baada ya Mahakama kumuachia kwa dhamana mshitakiwa mwenza
wa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Wilfred Lwakatare, Joseph Ludovick, amefunguka na kuelezea
tuhuma ambazo zimekuwa...
Read more: http://talkbongo.blogspot.com/#ixzz2ZmQDViWg