Posted by Unknown
Posted on Sunday, August 18, 2013
Wakati
ligi ya uingereza ikianza kurindima leo mabingwa watetezi wameendelea
na unazi wao kwa kuifunga swansea city jumla ya mabao 4-1 mabao
yaliyotiwa kimiani na R.V persie katika dakika ya 34,na katika dakika
mbili baadae Danny welbeck akaifungia tana man bao la pili Baadae katika
dakika ya 46 kutokea benchi alisaidia kutoa pasi maridadi iliyofika
kwa fundi R.V Persie na kuandika bao la tatu katika dakika ya 72 kabla
ya mpila kumalizika, welbeck kwa mara nyingine tena katika dakika ya 90
akafunga bao la nne.bao pekee la swansea lilifungwa katika dakika ya 82
na bony hadi kipenga cha mwisho kinalia Man u 4 - Swansea 1