muhtasari

Home » , » JESHI LA POLISI LATANGAZA DAU LA MILIONI 10 KWA MTU YEYOTE ATAKAYEWATAJA WATU WALIOWAMWAGIA TINDIKALI WAZUNGU WAWILI

JESHI LA POLISI LATANGAZA DAU LA MILIONI 10 KWA MTU YEYOTE ATAKAYEWATAJA WATU WALIOWAMWAGIA TINDIKALI WAZUNGU WAWILI

 

Zanzibar, Tanzania — Kamanda wa Polisi, Kamishna Musa Ali Musa amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kutoa Shilingi milioni 10/= kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazofanikisha kukamatwa kwa watu waliowashambulia mabinti wawili kutoka London, Uingereza,  Kirstie Trup na Katie Gee.

Mabinti hao walishambuliwa kwa tindikali usoni, kifuani na mikononi siku ya Jumatano walipokuwa njiani kuelekea kwenye chakula cha jioni.

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger