muhtasari

Home » , » MH. WENJE ATIWA MBARONI KWA KUONGOZA MAANDAMANO YA CHADEMA JIJINI MWANZA...

MH. WENJE ATIWA MBARONI KWA KUONGOZA MAANDAMANO YA CHADEMA JIJINI MWANZA...

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano yaliyosambaratishwa na polisi  hapo jana kwa kutumia mabomu ya kutoa machozi...

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger