Lakini pia ikumbukwe ratiba ya ligi kuu msimu ujao inaonyesha kwamba mechi ya watani wa jadi ya Simba na Yanga ya raundi ya kwanza itakuwa tarehe 20 Oktoba pia siku moja na uchaguzi wa TFF.
Kwa ukubwa wa matukio haya mawili kufanyika nadani ya siku moja kunahitajika kujipanga ukizingatia yanaingiliana. Tayari baadhi ya wadai wameshaanza kuonyesha wasiwasi wao kuhusu matukio haya kufanyika siku moja - mmojawapo ni aliyekuwa katibu mkuu wa TFF Bwana Fredrick Mwakalekebela, je wew kama mdau una maoni gani????? Tupe maoni yako...