Posted by Unknown
Posted on Tuesday, August 06, 2013
Watu wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao
wananchi wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shughuli mbalimbali
huko Momba, Mbeya, wamekamatwa na kuadhibiwa vibaya kwa kucharazwa viboko
na wanafunzi wa mafunzo ya mgambo.