muhtasari

Home » » DUDU BAYA "STRESS ZA GAME ZINATUFANYA TUNYWE POMBE, TUVUTE BANGI NA MADAWA YA KULEVYA"

DUDU BAYA "STRESS ZA GAME ZINATUFANYA TUNYWE POMBE, TUVUTE BANGI NA MADAWA YA KULEVYA"

 

“Mimi sina stress na game, kwanza mimi nina jina kubwa sana nina makampuni ya mbao Mambas Timber, huko mwanza, Mambas Entertainment na hii Mambas Pub nasonga mbele na maisha. Kwahiyo ningekuwa na stress ningekuwa kama hawa wasanii wenye stress ambao wanakunywa pombe, bangi na mwishowe wanakula madawa, unatakiwa uongee na Mungu akupe matumaini,” ameiambia Bongo5.

Amesema pia kuwa yeye ni professional kwenye uchoraji ramani za majengo na fundi.

“Nimejenga majumba mengi kwhaiyo nafanya mengi naweza kuwaajili baadhi ya wasanii ambao wamechoka na maisha.”

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger