Mpira umemalizika, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Salum Telela dkk 2
Young Africans wanatwaa Ngao ya Jamii
Dakika ya 80 Yanga bado wanaongoza.
Dakika ya 75, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Dakika ya 68, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia Hussein Javu kuchukua nafasi ya Jerson Tegete
Dakika ya 60, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Salum Telela dkk 2
Dakika ya 42 mwamuzi wa pembeni Hamis Chang'alu anatoa maamuzi yanayoonyesha kuwachukiza mashabiki wa Yanga na wanamzomea sana.
Dakika ya 30, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Dakika
ya 24, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia Deogratius Munishi
'Dida' kuchukua nafasi ya Ally Mustapha 'Barthez' aliyeumia
Dakika ya 16 anaingia Mbuyu Twite kuchukua nafasi ya Kelvin Yondani aliyeshindwa kurejea kufuatia kupata maumivu
Dakika ya 16 anaingia Mbuyu Twite kuchukua nafasi ya Kelvin Yondani aliyeshindwa kurejea kufuatia kupata maumivu
Dakika ya ya 15, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Dakika ya 10 ya mchezo Kelvin Yondani anapata majeraha, anatolewa nje kupatiwa matibabu
Dakika ya pili ya mchezo, Salum Telela anaipatia Young Africans bao la kwanza