Muda mfupi
uliopita klabu ya Yanga kupitia akaunti rasmi ya mtandao wa Twitter
imesema kwamba mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya 3 Pillars ya
Nigeria iliyokuwa ichezwe leo imefutwa baada makamu mwenyekiti wa Simba
Mzee Kinesi kusema haitambui mechi kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia
mtandao huu
YANGA WATANGAZA MECHI YA SIMBA VS 3 PILLARS YA NIGERIA IMEFUTWA ...
Posted by Unknown
Posted on Wednesday, August 14, 2013