
Akiongea katika kipindi cha Leo Tena ya Clouds Fm mkurugenzi mwenza wa
Zanzibar Njema Modern Taarab Ally Ngereja amesema msiba uko Amani Fresh,
Zanzibar ambapo ni kwa baba yake na atazikwa leo (September 17) saa
kumi jioni.
Marehemu aliwahi kutamba na nyimbo nyingi ikiwemo sitetereki inayofanya vizuri mpaka sasa.