muhtasari

Home » , , » BAADA YA DR.MVUNGI KUVAMIWA NA KUKATWA MAPANGA...MAKAMU WA RAIS DR.BILAL AMJULIA HALI MUHIMBILI...

BAADA YA DR.MVUNGI KUVAMIWA NA KUKATWA MAPANGA...MAKAMU WA RAIS DR.BILAL AMJULIA HALI MUHIMBILI...

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Dkt. Mugisha Clement, aliyekuwa akimpa maelezo kuhusu alivyompokea Mjumbe wa Tume ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi, aliyelazwa  katika Kitengo cha Uangalizi Maalum (ICU) MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipokwenda kumjulia hali, kufuatia kujeruhiwa na majambazi usiku wa kuamkia jumapili huko nyumbani kwake maeneo ya Kibamba.

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger