muhtasari

Home » , » PROF.MUHONGO AMTWANGA NYUNDO YA UKWELI MENGI MPAKA AKAWEWESEKA MDAHALONI...

PROF.MUHONGO AMTWANGA NYUNDO YA UKWELI MENGI MPAKA AKAWEWESEKA MDAHALONI...


Jana nikikua katika mdahalo wa rasilimali pale ukumbi wa Nkurumah ,waliopewa nafasi ya kuzungumza katika kungamano lile ,Dr Mengi nea alipewa nafasi,yeye katika kuongea alikazia swala la watanzania wazawa wapewe nafasi ya kumiliki vitalu vya gesi ili waweze kunufaika la rasilimali hiyo akitolea mifano nchi kama NIGERIA na ANGOLA wazawa binafsi walivyopewa nafasi ktk nchi zao,,ilivyofika nafasi ya prof Muhongo yeye alitonyesha presentation na twakimu na data zinazoonyesha watanzania wanaomiliki maeneo makubwa ya uwekezaji,,,katika twakimu hiyo Dr Mengi anashika nafasi ya 3 na anaukubwa wa eneo ambalo ukubwa wake mara 3 ya dar es salaam,,laini hamna cha maana anachonufasha watanzania badala ya yeye tu kutajirika binafsi..baada ya data hizo kutolewa Mengi alikua hana amani pale alipokaa na alikua anasimamasimama huku akinyosha mkono apewe nafasi ya kuongea wakati yeye alishaongea,,baada ya mdahalo kuisha dr Mengi,Mnyika,Tundu lisu,na Mtatiro wakajihisi wapo DEFEATED baada ya ile nyundo ya Muhongo,,wakaamua kukusanya watu na kuhaidi kua ule mdahalo utaendelea tena jpili ijayo na utarushwa na ITV ili wajibu ile nyundo ya 

MUHONGO..Muhongo alikua anaongea kwa data wakati wao walikua wanaleta maneno matupu tu ndio maana walioloa JASHO jana..

Prof Muhongo amtwanga nyungo nzito Mengi mpaka akaweweseka

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger