muhtasari

Home » , » CHADEMA YAIPIKU CCM...MKUU WA WILAYA AHAMIA CHADEMA MUDA HUU... ASEMA CCM INAWAPELEKA WATANZANIA JEHENAMU!

CHADEMA YAIPIKU CCM...MKUU WA WILAYA AHAMIA CHADEMA MUDA HUU... ASEMA CCM INAWAPELEKA WATANZANIA JEHENAMU!

ndani ya Landmark hotel kongamano likiendelea, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Mbozi (na wilaya nyinginezo) Bw.Gabriel Kimolo, aamua kuvua gamba na kujiunga na CHADEMA. People's...........!!!!
Ndani ya Landmark hotel kongamano likiendelea, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Mbozi (na wilaya nyinginezo) Bw.Gabriel Kimolo, aamua kuvua gamba na kujiunga na CHADEMA. People's...........!!!! Mkuu huyo wa zamani wa wilaya ameamu kujiunga na CHADEMA kwa kuona kero za wananchi hazitatuliwi na CCM na ndio ugumu wa maisha unazidi kuongezeka!.... Anasema CCM imekuwa ikutumia hela nyingi kuwahonga wapiga kura bila ya kutekelza ilani yao ... na anasema kama mtanzania mzalendo hawezi kuendele kuona ujinga huu ukiendelea na yeye akauvumilia!! CCM inatumia billions of shillings kwenye vitu visivyo vya msingi na hii inakibomoa chama na taifa kwa ujumla! Hakuna mtu mwenye maadili ndani ya chama, Mwenyekiti hana sauti na yeye ndio kiongozi wa mafisadi chamani,, anasema nani asiemjua Ridhiwani... alikuwa kijana mdogo anaetokwa klkamasi mwaka 2004 lakini ghafla 2005 baada ya babake kuingia madarakani amekuwa ni tajiri billionea wa Tanzania, hizi hela kazitoa wapi??? Let us think critically jamani!! Huu ndio ufisadi wa kupindukia, anadai kuwa Lowasa aliekuwa akijilipa mil 152 kwa siku etileo ndio anaonekana mwanachama mwaminifu wa kukivusha chama 2015, hawa CCm hawana akili kabisa!

Popular Post

 
Support : OBAMA | OBAMA | OBAMA
Copyright © 2013. DiraYaLeo - All Rights Reserved
Template Created by Barakaeli Aremu Published by Dira Ya Leo
Proudly powered by Blogger