Baadhi ya waandamanaji wakiwa na mabango ya kumpinga Dr. Slaa...
Polisi wakimsulubu kijana aliyeleta vurugu eneo la mkutano....
Polisi wakidumisha ulinzi kwa kukabiliana na waandamanaji....
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.
Willibrod Slaa, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa
Community Center mjini Kibondo baada ya waleta vurugu kukabiliwa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.
Willibrod Slaa, akipokea kadi ya uanachama, kutoka kwa aliyekuwa
Mwenyekiti Kitongoji cha Mtaa wa Shule katika Kijiji cha Mabamba kupitia
CCM, Sevelino Damian, ambaye amehemia Chadema, wakati wa mkutano wa
hadhara uliofanyika kijijini hapo.