Home »
KIMATAIFA
» WABUNGE, ***WA TAIWAN WACHAPANA NGUMI BUNGENI.
Posted by Unknown
Posted on Sunday, August 04, 2013
Picha: Ni wabunge wa Taiwan
'walivyoadabishana' jana baada ya kupishana maelewano kufuatia mpango wa
kupiga kura ya maoni iliyoazimia kuidhinisha umaliziwaji wa mradi wa
nne wa Nyuklia katika kisiwa ambacho kinakaliwa na watu wapatao milioni
23.